Sheria:2025 Kamati ya Wajitolea Uchunguzi wa Uteuzi Taarifa ya faragha
Taarifa hii ya faragha inatimiliza Sera ya Faragha ya Wikimedia Foundation ya washiriki Maombi ya Uteuzi wa Halmashauri ya Wajitoleaji ya 2025. Tunaelezea jinsi tunavyokusanya, kutumia, kushiriki, kuhifadhi na kufuta maelezo tunayopokea kutoka kwa washiriki.
| Maombi ya Uteuzi wa Halmashauri ya Wajitoleaji ya 2025 | |
|---|---|
| Kutoka Committee Support team | |
Data tunayokusanya itatumika kupata washiriki au wanaotuma maombi | |
| Data Iliyokusanywa | |
| Majibu | Ndiyo |
| Maelezo ya mawasiliano | Ndiyo |
| Data ya demografia | Ndiyo |
| Kurekodi | Hapana |
| Data ya umma ya shughuli ya Wikimedia | Ndiyo |
| Data iliyochapishwa | |
| Yasiyotambulisha | Hapana |
| Yanayotambulisha | Ndiyo |
| Ufikiaji wa Data | |
| Wikimedia Foundation | Ndiyo |
| Wanaojitolea | Ndiyo |
| Nyingine | Ndiyo |
| Hifadhi ya Data na Ufutaji | |
| Uzuiaji wa Data Ghafi | Siku 180 |
| Eneo la Data | Marekani na maeneo mengine |
| Tafadhali soma Taarifa kamili ya Faragha | |
Kukusanya na Kutumia Maelezo
Sababu ya kukusanya maelezo yako
Mradi huu utatusaidia kuongeza uendelevu wa harakati yetu, kutoa usalama na ujumuishaji na kuhakikisha usawa katika kufanya maamuzi. Tutatumia maelezo unayotupa:
- Kupata wanaotuma maombi, washiriki au teuzi
- Kuwasiliana nawe zaidi
Kwa maelezo zaidi kuhusu mradi huu, tafadhali soma ukurasa wake husika.
Jinsi tunavyokusanya maelezo yako
Zendesk is used to collect information. Please read their Privacy Policy and Terms of Service.
Maelezo tunayokusanya
Ukichagua kushiriki, tutakuomba utoe aina zifuatazo za maelezo.
Majibu ya maswali- kama vile majibu yaliyofafanuliwa na huru
Maelezo ya mawasiliano- kama vile jina, jina la mtumiaji, anwani ya barua pepe
Maelezo ya demografia- kama vile utaifa, jinsia
Maelezo ya umma ya shughuli ya Wikimedia- kama vile michango ya watumiaji au rekodi za umma
Kushiriki
Jinsi tunavyoshiriki maelezo yako
Kuchapisha: Tutachapisha data ya kutambua (kama vile manukuu ya moja kwa moja pamoja na sifa). Kwa mfano, tafadhali kagua kile ambacho tulichapisha awali. To facilitate this publishing, you agree to license your copyrightable contributions under the terms of Creative Commons Attribution-ShareAlike 3.0 and 4.0.
Ufikiaji: Data ghafi itashirikiwa tu na wafanyakazi wa Wikimedia, wachangiaji, watoa huduma na watu wanaojitolea wanaohitaji kuchakata maelezo haya na wanatii majukumu ya kutofichua.
Kushiriki kwingine: Huenda tukafichua maelezo yoyote tuliyokusanya inapohitajika kisheria, wakati tuna ruhusa yako, inapohitajika ili kulinda haki, faragha, usalama wako, watumiaji au umma kwa jumla na inapohitajika ili kutekeleza Sheria na Masharti yetu au sera nyingine yoyote ya Wikimedia.
Ulinzi
Muda ambao tunahifadhi maelezo yako
Data tunayokusanya itafutwa, kutolewa utambulisho, au kujumlishwa ndani ya siku 180. Please note that if you agree to future contact, your contact information will be retained longer to enable that communication. Tazama miongozo yetu ya uzuiaji wa data kwa maelezo zaidi.
Mtu wa kuwasiliana naye
Ikiwa una maswali, tafadhali tuma barua pepe kwa xeno
wikimedia.org. Washiriki ambao wangependa kubadilisha, kufikia au kufuta maelezo waliyotoa wanapaswa kuwasiliana nasi kwa maombi yao.