Sheria:Wikimania 2025 Maombi ya Maombi Taarifa ya faragha
Taarifa hii ya faragha inatimiliza Sera ya Faragha ya Wikimedia Foundation ya washiriki Wikimania 2025 Wito wa Mawasilisho. Tunaelezea jinsi tunavyokusanya, kutumia, kushiriki, kuhifadhi na kufuta maelezo tunayopokea kutoka kwa washiriki.
Kukusanya na Kutumia Maelezo
Sababu ya kukusanya maelezo yako
Mradi huu utatusaidia kuongeza uendelevu wa harakati yetu, kuwekeza katikamaendeleo ya ujuzi na uongozi. Tutatumia maelezo unayotupa:
Kwa maelezo zaidi kuhusu mradi huu, tafadhali tuma barua pepe kwa wikimaniawikimedia.org.
Jinsi tunavyokusanya maelezo yako
The event will be hosted on eventyay; please read their Privacy Policy and Terms of Service.
Maelezo tunayokusanya
Ukichagua kushiriki, tutakuomba utoe aina zifuatazo za maelezo.
Majibu ya maswali : kama vile majibu yaliyofafanuliwa na huru
Maelezo ya mawasiliano : kama vile jina, jina la mtumiaji, anwani ya barua pepe
Mawasilisho ya midia : kama vile video, picha, slaidi
Kushiriki
Jinsi tunavyoshiriki maelezo yako
Kuchapisha: Tutachapisha data ya kutambua (kama vile manukuu ya moja kwa moja pamoja na sifa). To facilitate this publishing, you agree to license your copyrightable contributions under the terms of Creative Commons Attribution-ShareAlike 3.0 and 4.0.
Ufikiaji: Data ghafi itashirikiwa tu na wafanyakazi wa Wikimedia, wachangiaji, watoa huduma na watu wanaojitolea wanaohitaji kuchakata maelezo haya na wanatii majukumu ya kutofichua.
Kushiriki kwingine: Huenda tukafichua maelezo yoyote tuliyokusanya inapohitajika kisheria, wakati tuna ruhusa yako, inapohitajika ili kulinda haki, faragha, usalama wako, watumiaji au umma kwa jumla na inapohitajika ili kutekeleza Sheria na Masharti yetu au sera nyingine yoyote ya Wikimedia.
Ulinzi
Muda ambao tunahifadhi maelezo yako
Data tunayokusanya itafutwa, kutolewa utambulisho, au kujumlishwa ndani ya siku 180. Tazama miongozo yetu ya uzuiaji wa data kwa maelezo zaidi.
Mtu wa kuwasiliana naye
Ikiwa una maswali, tafadhali tuma barua pepe kwa wikimaniawikimedia.org. Washiriki ambao wangependa kubadilisha, kufikia au kufuta maelezo waliyotoa wanapaswa kuwasiliana nasi kwa maombi yao.