Jump to content

Resolution: Azimio: Kupitisha Mwongozo wa Kimataifa wa Mwenendo na Maadili

From Wikimedia Foundation Governance Wiki
This page is a translated version of the page Resolution:Approval of a Universal Code of Conduct and the translation is 100% complete.
Resolutions Azimio: Kupitisha Mwongozo wa Kimataifa wa Mwenendo na Maadili Feedback?
Azimio hili lilipitishwa mnamo 9 Desemba 2020.

Kwa kuwa, Bodi wa Wadhamini imeagiza Shirika litunge Mwongozo wa Kimataifa wa Mwenendo na Maadili ili kuumba kanuni za kubana kwenye miradi yote ya Wikimedia; na

Kwa kuwa, Bodi imekagulia rasimu ya Mwongozo wa Kimataifa wa Mwenendo na Maadil ulioandikwa na kamati ya kurasimu, kwa shauri sana za jumuiya na kwa hati za mabadiliko kwenye batli inayopatikana kwa watu wote;

Kwa hivyo,

IMEAZIMIWA, kwamba Bodi ithibitishe na ipitishe Mwongozo wa Kimataifa wa Mwenendo na Maadili kama sera ya kutekeleza kwenye miradi yote ya Wikimedia; na

IMEAZIMIWA, kwamba awamu ya pili ya kutekeleza Mwongozo wa Kimataifa wa Mwenendo na Maadili, ikieleza njia wazi za utekelezaji, ikamilishwe kabla ya mwisho wa mwaka wa fedha 2020-2021 (Julai 2021).


Connect
María Sefidari (Chair), Nataliia Tymkiv (Vice Chair), Esra'a Al Shafei, Tanya Capuano, Shani Evenstein Sigalov, James Heilman, Dariusz Jemielniak, Lisa Lewin, Raju Narisetti, Jimmy Wales

References